Wednesday, January 18, 2017

DARAJA LA MTO ZIGI AMBONI TANGA LAHATARISHA USALAMA WA WATUMIAJI WA NJIA HIYO



Wanafunzi wa shule ya msingi Mafuriko Amboni Tanga wakipita karibu na kingo za daraja la mto Zigi Amboni   ambazo kingo zake zimegongwa na kuhatarisha usalama wao, Kingo hizo kwa kipindi kirefu toka zimegongwa hazijakarabatiwa hadi muda huu.






No comments:

Post a Comment