Sunday, January 15, 2017

SAMAKI KAA NAUZA JAMANI MUNAMJUA ?



Mchuuzi wa samaki soko la Deep Sea Tanga, Hamis Kibuti, akisubiri wateja kuuza samaki aina ya Kaa, Fungu moja la kaa alikuwa akiuza kwa shilingi 20,000, na mmoja mmoja alikuwa akiuza 1,000 hadi 2,000 kulingana na ukubwa wake.





No comments:

Post a Comment