Friday, January 13, 2017

WAJASIRIAMALI WANAWAKE MUHEZA WAJITOA KUOSHA PIKIPIKI (BODABODA) KUJIPATIA KIPATO



Wajasiriamali kikundi cha Umoja ni Nguvu cha Majengo Wilayani Muheza Mkoani Tanga wakiosha pikipiki (bodaboda) na kuendesha maisha yao kupitia uoshaji wa pikipiki, Kikundi hicho cha vijana wanawake wameamua kujiajiri ili kuepuka vishawishi vya nje.






No comments:

Post a Comment