Mfanyabiashara wa matunda soko la
Uzunguni Tanga, Hussein Fadhili akipanga matunda yake kusubiri wateja. Nanasi
moja alikuwa akiuza 3,000 hadi 4,000 na tikiti moja alikuwa akiuza 3,000 na
embe moja alikuwa akiuza shilingi 800.
Soko la Uzunguni ni soko pekee la toka enzi za Ukoloni na limekuwa likitegemewa zaidi wa watu wanaoishi mjini ukiachuilia soko la Mgandini, Makorora, Mlango wa Chuma na la Ngamiani ambalo pia lilijengwa na wakoloni wa Kijerumani mwaka 1950.
No comments:
Post a Comment