Saturday, January 28, 2017

KESI ZA MIRATHI, UNYANYSAJI ZASHAMIRI TANGA


Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighella, akiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini yaliyofanyika Kimkoa Tanga.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tanga, Iman Aboud, alisema kesi za mirathi na unyanyasaji zimeshamiri Tanga.


No comments:

Post a Comment