Saturday, January 14, 2017

MATAYARISHO YA CHUMVI YA UNGA, UFUKWE WA BAHARI MNYANYANI, TANGA



Hassan Ally, Mkazi wa Mnyanjani Sahare Tanga, akichota maji ya kutengenezea chumvi ya unga yanayoitwa Nyongo na kupikwa katika chombo kisha hukauka na kuwa chumvi ya unga.



 Mkazi wa Mnyanjani Sahare Tanga, Hassan Ally, akimimina maji yakutengeneza chumvi aina ya Nyongo katika chombo maalumu kisha kupikwa na kuwa chumvi ya unga.



Mzee Omari Mbwana mkazi wa Mnyanjani Sahare Tanga, akikoka moto kupika chumvi ya unga ambayo matayarisho yake ni maji maalumu yanayoitwa maji ya Nyongo

No comments:

Post a Comment