Tuesday, January 24, 2017

BIASHARA KUELEKEA MJINI TANGA



Mfanyabiashara wa Majumu  kutoka Maramba Wilayani Mkinga Mkoani Tanga akipeleka biashara yake mjini Tanga kutafuta wateja, Kapu moja alikuwa akiuza 700 kwa rejareja na jumla alikuwa akiuza 500.
Biashara ya mikopa ya utamaduni umekuwa ukitoweka baada ya jamii kubwa kutumia mifuko ya Plastic kwa kubebea vitu na bidhaa mbalimbali.
Hata hivyo baadhi ya watu wamedai kuwa majumu na mikoba ya ukili ni bora zaidi kwa usalama na kiafya.

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog.

No comments:

Post a Comment