Thursday, January 19, 2017

TUNAELEKEA TANGA MJINI KUSAKA WATEJA



Wachuuzi wa mkaa kutoka Gombero Wilayani Mkinga Mkoani Tanga wakielekea Tanga mjini kutafuta wateja, Gunia moja la mkaa lilikuwa likiuzwa 25,000 hadi 30,000.
Wilaya ya Mkinga ndio Wilaya pekee inayotoa mka kwa wingi ikiwa na pamoja na kilimo cha mihogo  na kuendesha uvuvi.




No comments:

Post a Comment