Saturday, January 28, 2017

MWILI WA KONDAKTA WA DALADALA ALIEDAIWA KUPOKEA KIPIGO CHA WANAJESHI AZIKWA



Mwili wa aliekuwa kondakta wa daladala iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Nguvumali na Raskazone Tanga, Salim Kassim, aliedaiwa kupigwa na mwanajeshi kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi tarehe 28/01/2017 na kufariki wakati akipelekwa hospitali  ukitolewa chumba cha kuhifadhia maiti (Mochuwari)  kupelekwa katika makaburi ya Masiwani kwa mazishi.




Madereva wa pikipiki (bodaboda) na magari wakiongozwa msafara wa mwili wa aliekuwa kondakta wa daladala iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Raskazone na Nguvumali Tanga ambaye anadaiwa kupigwa na mwanajeshi kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi tarehe 28/01/2017 na kufa wakati akikimbizwa hospitali wakielekea katika makaburi ya Masiwani kwa ajili ya mazishi.

No comments:

Post a Comment