Wednesday, January 25, 2017

USALAMA BARABARANI, TUNAELEKEA SHULE TANGA


Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mkwakwani Tanga akiwa amewapakiza abiria wawili wakiwa hawana kofia ngumu na kuhataria usalama wa maisha yao.





Mzazi akiwapeleka watoto wake shule ya msingi Darajani kwa kutumia kipando cha baskeli kama alivyuokutwa jana barabara ya Somaia Tanga.

No comments:

Post a Comment