Sunday, January 22, 2017

UCHANGIAJI WA DAMU SALAMA KWA HIARI TANGA WAFANIKIWA



Daktari hsopitali ya Bombo Tanga, Hamis Kayoga, akimtoa damu, Hamza Juma wakati wa zoezi la uchangiaji damu kwa hiyari  katika viwanja vya shule ya Popatlal  jana.
Uchangiaji huo ambao umedaiwa kupatikana kwa Unit nyingi umedaiwa kusaidia kwa kiasi kikubwa cha upatikanaji wa damu katika hospitali hiyo ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo.






Daktari wa hospitali ya Bombo Tanga, Hamis Kayoga, akimtoa damu, Robarts Wolter wakati wa zoezi la uchangiaji damu kwa hiyari katika viwanja vya shule ya Sekondari ya Popatlal jana.

No comments:

Post a Comment