Monday, January 23, 2017

MTO ZIGI HATARINI KUKAUKA, WAKULIMA NA WAFUGAJI WAPATWA NA KIWEWE



Mkazi wa Amboni Tanga,. Juma Ramadhan, akiangalia mto Zigi ambao maji yake yamepungua kufuatia ukosefu wa mvua kutonyesha hadi sasa. Mto huo ambao umekuwa ukitegemewa kwa matumizi mbalimbali ya kilimo cha umwagiliaji  na  unyeshwaji wa mifugo.
Mto huo ambao umekuwa ukitegemewa na ndio ambao umenda hadi nchi jirani umekauka kutokana na uhaba wa mvua hivyo kutishia ukame kwa baadhi ya maeneo hasa kwa wakulima ambao huutegemea kwa kilimo cha umwagiliaji.






No comments:

Post a Comment