Saturday, January 28, 2017

UKUTA WA DONALD TRUMP WA MAREKANI

Tofauti kati ya ukuta wa Trump na kuta zingine maarufu zilizojengwa

Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kuendelea na mipango yake ya kujenga ukuta wa urefu wa kilomita 3000 kwenye mpaka kati ya Marekani na Mexico.
Ukuta huo utakuwa na urefu wa kati ya mita 9 na 16 na utajengwa kwa kutumia changarawe.
Warepublican na wafuasi wao wanasema kuwa ukuta huo utawazui raia wa Mexico wanaoingia Marekani kinyume na sheria.
Tayari kuna ua kwenye mpaka kati ya Mexico na Marekani.
Mpaka kati ya Mexico na MarekaniUkuta wa BerlinUkuta wa ChinaUkuta wa Hadrian

No comments:

Post a Comment