Friday, January 27, 2017

MBOLEA TUNAENDA KUIMWAGA KATIKA BUSTANI YETU YA SHULE


Wanafunzi wa shule ya msingi Bombo Tanga, wakizoa mbolea ya kinyesi cha ng’ombe na kwenda kukimwaga kwenye  bustani ya mbogamboga katika shamba la shule yao. 
Kilimo cha Mbogamboga mashuleni kimekuwa somo zuri kwa wanafunzi wanapomaliza masomo yao kwa kupata elimu ya kuendesha kilimo hicho na kuwaletea tija.




Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment