Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya 
Hewa nchini TMA Dkt.Agness Kijazi (Katikati) akitoa taarifa ya Mwelekeo 
wa hali ya Mvua nchini kwa kipindi cha mwezi machi hadi mwezi Mei, 
2016. Kushoto ni Samwel Mbuya ambae ni Meneja Kitengo Kikuu cha Habari 
TMA Dar es salaam na Kulia ni Dkt.Hamza Kabelwa ambae ni Mkurugenzi 
Huduma za Utabiri TMA.
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Mamla
 ka ya Hali ya Hewa nchini TMA imewatahadharisha Wananchi pamoja na 
Taasisi mbalimbali ikiwemo za Uokoaji, kujiandaa juu ya namna ya 
kukabiriana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za masika 
ambazo tayari zimeanza kunyesha hapa nchini.
Mkurugenzi wa mamlaka hiyo Dkt.Agness Kijazi alitoa tahadhari hiyo juzi Jijini Mwanza,
wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa Mvua za Masika kwa Kipindi cha kuanzia mwezi Machi hadi mwezi Mei Mwaka huu.
wakati akitoa taarifa ya mwelekeo wa Mvua za Masika kwa Kipindi cha kuanzia mwezi Machi hadi mwezi Mei Mwaka huu.
Dkt.Kijazi alisema kuwa mvua za Masika zinatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza nay a pili
ya mwezi machi mwaka huu, katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa na kusambaa katika
maeneo mengine yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka.
ya mwezi machi mwaka huu, katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa na kusambaa katika
maeneo mengine yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka.
Alisema
 Mvua hizo zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika 
maeneo mengi nchini, na kwamba zinaweza kusababisha athari mbalimbali 
ikiwemo mafuriko hivyo ni vema wananchi pamoja na mamlaka za uokozi 
zikajiandaa kikamilifu ili kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza.
Mkutano baina ya Wanahabari pamoja na TMA uliofanyika Jijini Mwanza, ambapo TMA ilikuwa ikitoa taarifa ya Mwelekeo wa hali ya Mvua nchini kwa kipindi cha mwezi machi hadi mwezi Mei, 2016.
Wanahabari wakifuatilia taarifa ya Mwelekeo wa hali ya Mvua nchini kwa kipindi cha mwezi machi hadi mwezi Mei, 2016.

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog 
 
No comments:
Post a Comment