Meneja wa Mamlaka ya Hali ya Hewa
Tanga, Kurwa Mbwambo, akiwaonyesha waandishi wa habari kifaa maalumu cha
kupimia joto wakati akitoa taarifa ya mvua kubwa itakayoambatana na upepo
ambazo zinatariwa kunyesha Tanga na kuwataka wavuvi na watu wanaoishi mabondeni
kuchukua tahadhari .
Waandishi wa habari walipatiwa taarifa hiyo baada ya kutembelea Mamlaka ya Hali ya Hewa kujionea shughuli zifanyikazo pamoja na kuongoza ndege na kupokea taarifa mbalimbali masaa 24 kila siku.
Meneja wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanga, Kurwa Mbwambo, akiwaonyesha waandishi wa habari kifaa maalumu cha kupimia upepo wakati akitoa taarifa ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuonyesha ambazo zitakuwa zikiambatana na upepo na kuwataka wavuvi na watu wanaoishi mabondeni kuchukua tahadhari.
No comments:
Post a Comment