Muonekano wa ndege mpya itakayotumiwa na mashabiki wa Arsenal
 
         
Club
 ya soka kutoka nchini Uingereza ambayo ina udhamini wa kutosha kampuni 
ya ndege ya Fly Emirates, imeonesha ndege yake mpya itakayotumika 
kuanzia mwaka huu kwaajili kuwabeba mashabiki wanaokwenda kutazama 
 mechi zake za nje ya Uingereza na maeneo mengine ya jirani.
Kumbuka tu
 kwamba pamoja na kuwa ni mashabiki wakubwa wa club hiyo lakini watalipa
 nauli kama wateja isipokuwa tu watapewa huduma kama wachezaji wa 
Arsenal.
Muonekano 
wa kuanzia nje ya ndege hiyo umepambwa na picha za wachezaji wa club 
hiyo pamoja na logo ya timu hiyo inayotajwa kuwa na mashabiki wengi 
zaidi nchini Uganda kuliko club nyingine yoyote ya Uingereza.
Nimekuwekea hapa picha 7 za jinsi ndege hiyo inavyoonekana kuanzia nje mpaka ndani.






 
No comments:
Post a Comment