Wakazi wa Tanga wakipita kwa shida barabara ya Taifa Road
Tangamano Tanga baada ya wafanyabiashara maarufu kama wamachinga kupanga
biashara zao barabarani na kuwa shida kwa wenye usafiri wa vyombo vya moto na wapita
kwa miguu.
Daladala na waendesha vyombo vya moto na wapiti kwa miguu wakipita kwa tabu barabara ya Taifa Road- Tangamano Tanga kufuatia wafanyabiashara waarufu kama wamachinga kupanga biashara zao hadi karibu na barabara na ku;leta usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.
No comments:
Post a Comment