Wednesday, September 23, 2015

BAADA YA USHINDI WAO MNONO , SASA MAMBO YAPO HAPA

Ratiba ya raundi ya 4 Capital 1 – Vigogo Man U, Chelsea, Arsenal, City kumaana na nani?



Baada ya mechi za raundi ya 3 ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital One kumalizika usiku huu, imetolewa ratiba ya hatua inayofauta ya michuano hiyo.
 Manchester United baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Ipswich Town, sasa watacheza na  Middlesbrough nyumbani Old Trafford.
 Arsenal baada ya kuiondoa Tottenham Hotspur sasa itacheza na Sheff Wednesday, wakati Liverpool au Carlisle watcheza dhidi ya Bournemouth – baada ya mchezo wa marudiano baina yao kutoa mshindi.
 Chelsea watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Stoke City baada ya leo kuitoa Walsall kwa kuifunga 4-1.
Manchester City wataumana na Crystal Palace.
RATIBA NZIMA YA RAUNDI 4 CAPITAL ONE
 

No comments:

Post a Comment