Wednesday, September 23, 2015

VIMBWANGA VYA WALIMWENGU

Time ya kujionea mbwa nao wakiwa kwenye nyumba zao mtu wangu..

Mara nyingi ukiona Family za Wazungu, utamaduni wao ni kwamba kuna baadhi ya wanyama ambao nao wanawahesabia kama sehemu ya Familia zao, na baada ya wanyama hao ni mbwa na paka
Utamaduni uko tofauti na huku kwetu, ambako sio rahisi kukutana na mnyama kama mbwa kuishi ndani ya nyumba kama watu wengine.
Sasahivi ni time ya kujionea wenzetu wanavyojali zaidi wanyama, achana na ishu ya mbwa kuishi ndani ya nyumba, hii ni mijengo ambayo jamaa wameona wawajengee na mbwa wao wapate sehemu poa kabisa ya kuishi, ukicheki ni vijumba vidogovidogo ila vinavutia kiukweli.
dog8
dog5
dog6
dog1

dog2
dog3
Two story dog house with plants, and dog sitting next to entrance.
dog7
nje
10


Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment