Tuesday, September 29, 2015

CHRIS BROWN AJUTIA KITENDO CHAKE CHA KUMPIGA RIHANNA

Chris Brown anajutia makosa yake baada ya kuzuiwa kuingia Australia? Kayaandika haya..

Kesi ya Chris Brown kumpiga mpenzi wake wa zamani itabakia kuwa moja ya makosa ambayo Chris Brown anajutia sana kuyafanya… story ambayo iligusa Vichwa vya Habari kwenye Entertainment ikiwa na jina la staa Chris Brown siku chache zilizopita ilikuwa ishu ya Chris kuzuiwa kuingia Australia December 2015 kwa ajili ya kupiga show.
Maombi ya Viza yalikataliwa huku wanaharakati wakionekana kuchochea zaidi Chris azuiwe, hiyo yote ilitokana na hatia aliyokutwa nayo Chris baada ya kumpiga Rihanna miaka zaidi ya mitano iliyopita ..!!
231020130803484502293
Chris kaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba yeye sio yule mtu mkorofi tena, kingine amesema anakubali makosa yake na anaamini makosa yake ingekuwa ni kitu ambacho wengine wangejifunza kupitia kwake…
Chris II Chris
Chris III
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment