Saturday, September 26, 2015

COASTAL UNION YASHINDWA KUWAPA RAHA WASHABIKI WAKE NYUMBANI



Mshambuliaji wa Coastal Union, Ahmed Shibol akiwatoka mabeki wa timu ya Mwadui kuelekea langoni mwao wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara jana Uwanja wa CCM Mkwakwani Leo


 Kipa wa Mwadu, Shaban Kado, akiokoa hatari langoni mwake wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara jana uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.
 Mchezaji wa Coastal Union, Tumba Sued(23) akizozana na wachezaji wa Mwadui jana wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani jioni hii.
  Mchezaji wa Coastal Union, Ahmed Shibol,akimtoka beki wa Mwadui, Paul Nonga wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani jioni hii.
Wachezaji wa Mwadui wakimzonga mchezaji wa Coastal Union Ahmed Shibol wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa CCM Mkwakwani jioni na timu hizo zilitokla suluhu bila kufungana,

No comments:

Post a Comment