Tuesday, September 29, 2015

MTANANGE ULAYA LEO NA KESHO, RATIBA NIKO NAYO HAPA

Ratiba za mechi za ligi ya mabingwa Ulaya September 29 na 30.

Mtu wangu wa nguvu kama kawaida ripota wako wa nguvu nakusogezea karibu yako kila kitu kinachonifikia, hii ni ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya September 29 na Jumatano ya September 30. Hii ni ratiba ya mechi za pili za kila klabu inayocheza Jumanne na Jumatano.
Hii ni ratiba ya mechi za Jumanne ya September 29
1
Mechi hizi zote zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki
Hii ni ratiba ya mechi za Jumatano ya September 30
2
Mechi hizi zote zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki
Kwa habari, matokeo na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment