Wednesday, September 23, 2015

WACHEZAJI WANAOLIPWA MISHAHARA MINONO, MAREKANI

List ya wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa Ligi Kuu Marekani, Gerrard, Kaka na wengineo ipo hapa..


Tumezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka barani Ulaya kuwa mikubwa ila wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini mastaa kadhaa kutoka Ulaya wamekuwa wakikimbilia Ligi Kuu Marekani (MLS)? wengine usema wanafuata mishahara wengine usema Ligi Kuu Marekani (MLS) ni Ligi ya wastaafu.
September 23 nakuletea list ya mishahara ya mastaa wa soka waliowahi kucheza soka katika Ligi mbalimbali pendwa barani Ulaya, huenda ulitamani kujua mshahara wa mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or wa mwaka 2007 Ricardo Kaka ambaye amewahi kutamba katika vilabu vya AC Milan na Real Madrid.
Nakusogezea list ambayo imeandikwa na mtandao wa metro.co.uk ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi katika Ligi Kuu Marekani.
1-  Ricardo Kaka
Ricardo-Kaka
Ricardo Kaka analipwa mshahara wa dola milioni 6.6 na klabu yake ya Orlando City kwa mwaka.
2- Steven Gerrard 
2475356100000578-2901727-Sportsmail_s_mock_up_of_how_Steven_Gerrard_could_look_in_the_col-a-83_1420717217196
Steven Gerrard anayeitumikia klabu ya LA Galaxy analipwa mshahara wa dola milioni 6.2 kwa mwaka.
3- Frank Lampard
Frank-Lampard-012
Kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya New York City FC Frank Lampard analipwa dola milioni 6 kwa mwaka.
4- Michael Bradley
bradley
Michael Bradley anayecheza klabu ya Toronto FC analipwa sawa na Lampard dola milioni 6 kwa mwaka.
5- David Villa
_75263492_david_villa_nycfc_signing
David Villa wa klabu ya New York City analipwa dola milioni 5.61
6- Sebastian Giovinco
TURIN, ITALY - DECEMBER 18:  Sebastian Giovinco of Juventus looks on during the Tim Cup match between Juventus and US Avellino at Juventus Arena on December 18, 2013 in Turin, Italy.  (Photo by Valerio Pennicino/Getty Images)
Sebastian Giovinco analipwa na klabu yake ya Toronto dola milioni 5.6.
7- Jozy Altidore,
Jozy Altidore celebrates after scoring a goal for the US against Panama in a World Cup Qualifying match at CenturyLink Field in Seattle, Wash. on Tuesday, June 11, 2013. (Photo by Mike Russell | mikerussellfoto.com)
Jozy Altidore analipwa dola milioni 4.75 kwa mwaka katika klabu ya Toronto FC .
8- Robbie Keane
CARSON, California - September 14, 2012: The LA Galaxy defeated the Colorado Rapids 2-0 during a Major League Soccer (MLS) game at Home Depot Center stadium.
Robbie Keane wa LA Galaxy analipwa dola milioni 4.5 kwa mwaka.
9- Giovani Dos Santos
Giovani-Dos-Santos
Giovani Dos Santos wa LA Galaxy analipwa dola milioni 4 kwa mwaka
10- Clint Dempsey
usmnt-world-cup-away-shirt-clint-dempsey-back
Clint Dempsey kutokea klabu ya Seattle Sounders analipwa dola milioni 3.9.
Hii ni list ya wachezaji wote 18 wanaolipwa fedha nyingi na vilabu vyao katika Ligi Kuu Marekani (MLS)
1
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment