Friday, September 25, 2015

IDD EL HAJJ ILIVYOSHEREHEKEWA TANGA

 Wakazi wa Tanga wakisherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj ikiwa leo ni siku ya pili ya Sikukuu hiyo na mamia kuvinjari katika Beach ya Raskazone. 
Maelfu ya wakazi wa Tanga na vitongoji vyake humiminika katika Fukwe za Beach hiyo ambayo inatajwa kuwa ndio nzuri ya kipekee inayovutia pwani ya Afrika Mashariki kwa kuwa na uwanda mkubwa na mchanga wa kipekeee ambapo wageni na wenyeji humiminika
Nimekuwekea picha nne tu ujionee.



No comments:

Post a Comment