Monday, September 28, 2015

KUMBE HATA KWA WENZETU KUNGUNI PIA WAKO ###

Kunguni wamevamia Hostel za Chuo Kikuu Lagos Nigeria, Wanafunzi wamegoma na hali ni hii!!


Jumatatu September 28 2015 moja ya Story zilizonifikia ni hii kutoka Lagosa Nigeria… Unajua usingizi ni moja ya vitu muhimu sana ambavyo unatakiwa kuvipata ukiwa mahali penye utulivu wake kabisa, hakuna usingizi mzuri utakaoupata kama Kitanda unacholalia kina kunguni !!
Bedbug5
Imewakuta Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Lagos Nigeria, wenyewe walichoamua leo ni kufanya mgomo wa aina yake, wametoa magodoro yao na kuyatundika juu ya mageti ya kuingilia kwenye Chuo hicho kama njia ya kuonesha kutoridhishwa na Uongozi wa Chuo kutochukua hatua yoyote juu ya kumalizana na tatizo la mbu pamoja na kunguni ambao wamevamia Vyumba vya Hostel.
150518182055-zhangjiajie-national-forest-park3-exlarge-169
BedBug2
Bedbug4 (1)
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment