Usishangae michoro kwenye ‘Matatu’ za Kenya, hii ni India… Mpaka Malori yamechorwa..
Ukikatisha mitaa ya Nairobi kwa watu wa nguvu +254 utagundua tofauti iliyopo kwenye daladala zao au mabasi ya Abiria, hazifanani kabisa na ambazo utakutana nazo Dar es Salaam TZ.. utofauti mkubwa wa kwanza kabisa, ni muonekano wa nje.
Matatu ndio jina la mabasi ya abiria ndani ya Kenya na kwa nje kwenye bodi ya gari utakutana na michoro ya aina mbalimbali, zipo Matatu zimechorwa pichaz za mastaa au viongozi wakubwa, nyingine zina maandishi na pichaz nyingine tu za rangi tofauti, hicho kitu hakiko kwenye daladala za Dar.
Utamaduni wa kuchora magari haujaishia
Nairobi Kenya, pichaz hizi hapa toka India, jamaa nao wako vizuri,
unaambiwa wamechora mpaka malori yani !!
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment