Sunday, September 27, 2015

DUA YA KUMUOMBEA MCHEZAJI WA COASTAL UNION ALIEFARIKI UWANJANI



Mchezaji wa zamani wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Dondo Ali, akiwaongoza makumi ya washabiki wa timu hiyo na wakazi wa Tanga katika dua ya kumuombea mchezaji wa Coastal B aliefariki jana (juzi) kabla ya kusafirishwa kuelekea Morogoro kwa mazishi  wakati akipatiwa matibabu hospital ya Wilaya ya Ngamiani baada ya kugongana na mwenzake wakati wakicheza kabla ya Coastal Union haijaingia uwanjani kumenyana na Mwadui uwanja wa Mkwakwani jana.







No comments:

Post a Comment