Ulishawahi kuona uwanja wa soka unaelea? Nimekutana na picha zake mtu wangu…
Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi Marina Bay ni moja kati ya sehemu ambazo unapaswa kutembelea kama utafanikiwa kufika Singapore. Marina Bay ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unaelea kwenye maji, yaani sehemu ya kuchezea inaelea ila majukwaa yapo nchi kavu.
Marina Bay umejengwa
kwa vyuma lakini unaelea na unatajwa kuwa na uzito wa tani 1,070 ambazo
ni sawa na uzito wa watu 9000, upande wa jukwaa la mashabiki lina uwezo
wa kubeba watu 30,000. Uwanja huo toka mwaka 2007 umekuwa ukitumika kwa
shughuli mbalimbali kama mechi za soka, matamasha, maonyesho ya sanaa
pamoja na sherehe za kitaifa zinazohusisha gwaride la askari jeshi na
polisi.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment