Tuesday, September 29, 2015

MAJENGO YALIYOWEKA REKODI KWA UREFU DUANIANI

Unayajua majengo yaliyoweka rekodi kwa urefu zaidi duniani? Nimekusogezea hapa…


Dubai, Shanghai, New York City ndio miji inayoongoza kuwa na mpangilio mzuri wa majengo duniani na ndiyo inayoongoza kwa kujenga  majengo marefu yaliyoweza kuingia kwenye rekodi za dunia.
Ukuaji wa miji hii mikubwa ndio matokeo ya teknolojia iliyowezesha kuwa na miundombinu bora na iliyoweka rekodi duniani.
Nimekusogezea majengo 10 yaliyovunja rekodi kwa urefu zaidi duniani…
burj
1. Burj Khalifa

shanghai
2. Shanghai Tower

maka
3. Makkah Clock Royal Tower

jengo4
4. One World Trade Center

jengo5
5. CTF Finance Centre

jengo6
6. Taipei 101

jengo7
7. Shanghai World Financial Center

jengo8
8. International Commerce Centre

jenho9 na 10
9 na 10 Petronas Towers, hili ni jengo pacha
Maelezo yake nimekuwekea hapa..
# Building City Floors Height Year
1
Burj Khalifa Dubai 163 828 m 2010
2
Shanghai Tower Shanghai 121 632 m 2015
3
Makkah Clock Royal Tower Makkah 120 601 m 2012
4
One World Trade Center New York City 104 541 m 2014
5
CTF Finance Centre Guangzhou 116 530 m 2016
6
Taipei 101 Taipei 101 509 m 2004
7
Shanghai World Financial Center Shanghai 101 492 m 2008
8
International Commerce Centre Hong Kong 118 484 m 2010
9
Petronas Tower 1 Kuala Lumpur 88 452 m 1998
10
Petronas Tower 2 Kuala Lumpur 88 452 m 1998

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment