Wednesday, September 30, 2015

RAIS WA NIGERIA AJIPACHIKA NAFASI YA UWAZIRI WA MAFUTA

Rais wa Nigeria kajipa majukumu haya mengine ndani ya serikali yake…

May 29, 2015 Muhammadu Buhari aliapishwa kuwa Rais mpya wa Serikali ya Nigeria.
Baada ya kuingia madarakani moja ya vipaumbele vya Buhari aliahidi kupambana na rushwa na ubadhirifu wa mali za umma pamoja na kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram.
Headlines za leo kuhusu Rais huyo kupitia kwa msemaji wake, Femi Adesina zimethibitisha kuwa mbali ya nafasi yake hiyo ya kuwaongoza Wanigeria atashika nafasi ya kuwa Waziri wa mafuta akisaidiwa na Naibu wake ili kupambana na wanaotumia vibaya nafasi kama hizo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment