Tuesday, September 29, 2015

USAIN BOLT AKATISHA MAHOJIANO ALIPOSIKIA WIMBO WA TAIFA LAKE

Usain Bolt kaamua kukatisha Interview baada ya kusikia wimbo wa Taifa…

Usain Bolt ameonyesha kujali zaidi wimbo wa Taifa baada ya kukatisha Interview alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa Televisheni baada ya kusikia wimbo wa Taifa wa U.S Marekani wakati ukiimbwa.
Huu unaweza kuwa mfano mzuri kwa wanamichezo wengine kuweza kuheshimu nyimbo zao za Taifa au Taifa lingine pale zinapokuwa zikiimbwa.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment