Tuesday, September 22, 2015

WAJAWAZITO KUSAJILIWA KWA KUTUMIA MFUMO WA SIMU

 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa ya  Bombo, Asha Mahita, akifungua kongamano la siku moja la Uandikishaji wajawazito katika mfumo wa Kielekroniki vituo vya Afya chini ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na kufadhiliwa na Benk ya Maendeleo ya Ujerumani (KWF)  lililofanyika  Tanga.




Kaimu Meneja Mradi wa Benk ya Maendeleo ya Ujerumani (KWF), Wanda Welker, akizungumza katika kongamano la Uandikishaji Wajawazito katika Mfumo wa Kielekroniki katika vituo vya Afya chini ya usimamizi wa Bima ya Afya (NHIF) lililofanyika  Tanga.

No comments:

Post a Comment