Wednesday, September 23, 2015

ERIC OMANDI AACHA UKAPERA

Mwacheni Eric Omondi na mapenzi yake… surprise kwa mpenzi wake Airport Kenya..

Jomo Kenyatta International Airport ilipata Burudani ya nguvu tena ya bure kabisa na ya aina yake kutoka kwa staa wa Comedy toka +254 Kenya, Eric Omondi.
Wachekeshaji huwa ni watu ambao wakati mwingine hata akifanya kitu cha kawaida kabisa bado ukimuona tu unajikuta unacheka… Eric Omondi alionesha upande wake mwingine kwamba yeye ni binadamu na ana mapenzi yake kabisa !!
Eric alipost pichaz kadhaa kwenye ukurasa wake @Instagram akionesha kuanzia mwanzo ilivyokuwa wakati alivyoenda kumpokea mpenzi wake Uwanja wa Ndege wa JKIA, Nairobi Kenya ambapo mpenzi wake huyo, Shantel Grazioli alikuwa anawasili toka  Razzmatazz, Hispania.
ERIC-OMONDI2
Eric na mpenzi wake, Shantel wakikumbatiana kwa furaha.
ERIC-OMONDI4
Haikuwa mapokezi ya kuishia  pekeake, Eric na Kikosi cha FBI dancers walitoa Burudani ya dance ya nguvu hapohapo Airport !!
ERIC-OMONDI
Safari kuelekea home sasa, Eric na waubavu wake, Shantel pembeni !!
ERIC-OMONDI3
Shantel na Eric wamekuwa na uhusiano kwa kipindi kirefu na kuna story kwamba wana mpango wa kuingia kwenye Ndoa halali kabla ya mwaka 2015 kuisha !!
ERIC-OMONDI5
Hii ni picha ambayo alipost asubuhi yake, yeye na mpenzi wake pembeni alafu akaandika >>> ‘Good morning Fam @miss.chanty‘ >>> @ericomondi
Bado naikumbuka siku ambayo Eric Omondi alialikwa na kuitwa kwenye stage ya Zari All White Party pale Mlimani City Dar es Salaam

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment