Wednesday, September 23, 2015

NSSF YAZIDI KUNOGESHA MICHEZO TANGA

  Katibu msaidizi wa Coastal Union, Salim Bawazir, akipokea msaada wa jezi na vifaa mbalimbali vya michezo kutoka Meneja wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa  Tanga, Frenk Maduga (kushoto) ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo Tanga makabidhiano yaliyofanyika ndani ya Uwanja wa Mkwakwani Tanga. Katikati ni kepteni wa timu hiyo, Mbwana Kibacha.

No comments:

Post a Comment