Tuesday, September 1, 2015

KERO YA UCHAFU KATIKAKATI YA JIJI IMEFIKIA HATUA YA HATARI

 Takataka barabara ya 11 soko kuu la Ngamiani Tanga zikiwa zimezagaa hadi barabarani na maeneo ya makazi ya watu na kuwa kero kwa watumiaji wa barabara na wafanyabiashara sokoni hapo  na kusababisha harufu kali.  Tangakumekuchablog imekuwa ikiripoti kero kama hiii kila kona na kutokuwepo kwa hatua za dharura kuchukuliwa .
Hata hivyo inadaiwa kuwa mamlaka husika inafanya jitihada za haraka kuhakikisha madampo yote yanakuwa katika uangalizi wa kila baada ya muda ikiwa na pamoja na kupiga marufuku kujitengenezea madampo kinyume na sheria.







No comments:

Post a Comment