List ya viwanja 10 vya ndege ambavyo ni vya gharama zaidi duniani…
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa
ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani
kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo
vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.
Hii ndiyo list kamili…
1. Kansai International Airport –Japan: kimetumia dola bilioni 20 kujengwa
2. Hong Kong International Airport – China, kimetumia dola bilioni 20 kujengwa
3. Al Maktoum International Airport – Dubai: Kimetumia kiasi cha dola bilioni 12 kujengwa
4. London Heathrow Airport – Uingereza: Kimetumia dola bilioni 10.5 kujengwa
5. Beijing Capital International Airport –China: kimetumia dola bilioni 8 kujengwa
6. Dubai International Airport –Kimetumia dola bilioni 6 kujengwa
7. Berlin Brandenburg Airport – Ujerumani: Kimetumia kiasi cha dola Bilioni 5.5 billion
8. Denver International Airport – USA: Kimetumia kiasi cha dola bilioni 4.8 kujengwa
9. Kuala Lumpur International Airport – Malaysia: Kimetumia dola bilioni 3.5 kujengwa
10. Dallas-Fort Worth International Airport – Texas, Marekani: kimetumia kiasi cha dola bilioni 3.2
Kwa haari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment