Pichaz za uharibifu na vurugu za mashabiki waliyo hudhuria katika mechi ya Hungary Vs Romania..
 
         
Sehemu yoyote panapokuwa na mkusanyiko 
wa watu wengi, chochote kinaweza kutokea kutokana na wingi wa watu, hii 
imetokea katka mechi kati ya Romania dhidi ya Hungary
 ambapo mashabiki waliamua kufanya fujo uwanjani na uharibifu wa baadhi 
ya mali, hii ilikuwa katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza michuano 
ya Euro 2016.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog 




 
No comments:
Post a Comment