Friday, June 26, 2015

27 WAUWAWA TUNISIA

Watu 27 wameuawa hotelini Tunisia

null
Maafisa wa Serikali ya Tunisia wamesema kuwa mtu mmoja  ameuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa ulinzi na kuwa waliosalia bado wanasakwa na polisi.
Shambulio hilo lilitokea katika mji wa Sousse, ambao huwavutia maelfu ya watalii kutoka bara Ulaya na Afrika ya Kaskazini.null
Hili lilikuwa shambulizi la pili dhidi ya hoteli ya watalii nchini Tunisia katika kipindi cha miezi michache iliyopita.

Kwa habari matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment