Thursday, June 25, 2015

KARIBUNI, FUTARI

 Wafanyabiashara wa vitafunywa vya kufungulia saumu nje ya msikiti wa Ijumaa wa Sunni barabara ya 10 Tanga, wakiwauzia waumini na wakazi wa Tanga. Ni ada ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani ifikapo muda wa jioni msikitini hapo  huuzwa vyakula mbalimbali na kurahisisha  wasafiri na wakazi wa maeneo ya mbali kuweza kufuturu.






No comments:

Post a Comment