Thursday, June 25, 2015

USHIRIKINA, MAMA AAMINI MWANAWE ATAREJEA DUNIANI BAADA YA KUFA MIAKA KUMI

Mganga kufufua watu bado kuna mama anaamini mwanaye atarudi


POLI
 Mganga wa kienyeji aliyekuwa akidai kuwarudisha watu waliokufa huku watu wengi wakimwamini na kutoa Pesa zao ili ndugu zao warudi.
Mganga huyo ameshikiliwa na Polisi baada ya kufunguliwa mashtaka ya udanganyifu Dodoma kwa kuwatapeli watu wengi huku kukiwa hakuna dalili za ndugu zao kurudi.
Mmoja wa ndugu wa marehemu ni mama mmoja aliyetoa milioni moja na shilingi 100 na kumpa Mganga huyo akiamini atamrudisha mwanaye ambaye alifariki dunia, lakini yeye ameendelea kuamini kuwa mtoto wake atarudi na hana wasiwasi wowote na mganga huyo huku akisema bado hajakata tamaa na anaamini ipo siku mwanaye atarudi.
Kwa habari, amtukio na michezo ni hapa hapa tangakakumekuchablog

No comments:

Post a Comment