Monday, June 22, 2015

TENDE RAMADHANI



 Mfanyabiashara wa tende na haluwa nje ya msikiti wa Sunny mtaa wa Bondeni Arusha  akisubiri wateja. Kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu, tende hutumiwa kama kifungulia kinywa kabla ya kula kitu chochote na kutajwa kuwa ni moja ya sunna kubwa.






No comments:

Post a Comment