Thursday, June 25, 2015

NDIZI NZURI , KARIBUNIKWA FUTARI

 Mfanyabiashara wa ndizi soko kuu la Ngamiani Tanga, Hassan Othman, akiwauzia ndizi wateja wake aina ya mkono wa tembo. Ndizi  kipindi hiki  cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani waumini wengi wamekuwa wakitumia kama moja ya futari.






No comments:

Post a Comment