Tuesday, June 23, 2015

NCHI ZENYE AMANI NA VURUGU, HIZI HAPA

Unazijua nchi kumi zinazoongoza kwa utulivu zaidi na zinazoongoza kwa vurugu? Ziko hapa !!

keep yourself updatedRecord mpya zinatoka kila siku, kwenye zile zinazonifikia zipo ambazo na mimi naamua kukusogezea pia !! Unajua nchi inayoongoza kwa amani na utulivu? Na unajua nchi inayoongoza kwa kuwa na vurugu nyingi?
Kuna nchi tunazisikia kila siku kwamba kuna vita na machafuko, na kuna nchi ambazo hizo stori hata huzisikii kabisa!!
Hapa nina list ya nchi kumi ambazo zimetajwa kuwa zinaongoza kwa machafuko
Peacefull II
Na hizi ndio nchi kumi zilizotajwa kuwa zina amani na utulivu zaidi
Peacefull
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment