Thursday, June 25, 2015

MJUSI NDANI YA BURGER

Mjusi alivyokutwa kwenye Burger na kuibua mzozo kwenye ndege !!

baga
Utajisikiaje pale unapopewa chakula kwenye ndege alafu unakutana na kitu ambacho hukukitegemea?
Ndani ya ndege ya Air India mmoja wa abiria kakutana na mjusi ndani ya Burger, safari ilianzia Delhi India kwenda London Uingereza.. 
Mhudumu wa ndege kamletea abiria Burger kama alivyoagiza bila kujua kwamba kuna kitu kingine ndani… abiria huyo alikasirika sana, lakini abiria wengine pia nao hawakupenda hii kitu, wakaamua kususa kula chakula chochote kilichogagiwa na wahudumu ndani ya ndege.
Ishu ilifika kwenye Uongozi baada ua kuchukua headlines nyingi mitandaoni, wao walikataa kwamba hakuna ukweli wowote!
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment