Monday, June 29, 2015

KUMBE, KUNA MAKUNDI YANAISHI MAISHA YA KUSHANGAZA

Je,unaweza kuishi ukiwa uchi?

null
Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao.
Mwandishi kutoka nchini Marekani Mark Haskel Smith alikabiliana na changamoto zote na kuweza kuishi bila nguo.null
Chanzo, BBC.

No comments:

Post a Comment