Karenzi Kareke ameachiliwa kwa dhamana

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda, Luten Jeneral Karenzi Karake ameachiliwa kwa dhamana.
na kutakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku
alikamatwa siku ya Jumamosi katika
uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha ulaya..


Miongoni mwa wanaodaiwa kufariki kutokana na matukio hayo ni raia watatu wa Uhispania waliokuwa wakifanya kazi ya kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la kazkazini mwa Rwanda.
Jaji Muhispania Fernando Merelles ndiye aliyetoa warranti hizo na kutaka wakamatwe,agizo alilolitoa tangu February 2008 .
Rwanda imekuwa ikishtumu hatua hiyo ya jaji Merelles na kusema ni kutumiwa vibaya na mahasimu wa Serikali wenye misimamo mikali na kwamba
Jaji huyo hajachukua hatua zipasavyo kupata mashahidi kutoka Rwanda au hata kufanya kazi pamoja na mahakama za Rwanda.
Kwa habari, amatukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment