Marekani na Sheria ya Ndoa za jinsia moja kwenye headlines nyingine tena Leo 26 2015.
Headlines kubwa za leo zinatoka nchini Marekani ambako dakika chache zilizopita Rais Barack Obama ametangaza kuhalalishwa kwa ndoa za jinsia moja katika majimbo yote 50 ya Marekani.
Kuanzia leo mtu yoyote anaeishi Marekani na
aliyee kwenye mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja ana haki zote za
kisheria kuingia katika ndoa na mpenzi wake, na haki hii itakua sawa
kama vile ilivyo kwa watu wenye mahusiano ya kawaida ya kimapenzi.
Maamuzi haya yametokana na raia wengi wa Marekani kupiga
kura kuipinga sheria ya awali ambayo ilikua imehalalisha ndoa hizi kwa
majimbo machache kwa kudai kuwa kitendo hiki ni ubaguzi wa haki na
kinaenda kinyume na katiba ya nchi inayosema kila Mmarekani ana haki sawa.
Awali, majibo 36 kati
ya majimbo 50 yalikua yamehalalisha ndoa hizi huku wapenzi wanaume wa
jinsia moja wengi walikua wakionekana kupendelewa kuliko wapenzi
wanawake wa jinsia moja .
No comments:
Post a Comment