Sunday, June 28, 2015

WIVU WAMPELEKA KABURINI

Mume aamua kufanya unyama huu kwa mke wake kisa anaongea sana..

pilow
Mara nyingi imezoeleka ndani ya nyumba wanawake wengi huwa na tabia ya kuongea sana kuliko wanaume kitendo ambacho mara nyingine kinawachukiza baadhi ya wanaume na kuamua kuchelewa kurudi nyumbani ili kuepukana na kelele za wake zao.
Jamaa mmoja katika jombo la Texas, Marekani anashikiliwa na pilisi kwa tuhuma za kusababisha mauaji baada ya kumziba mke wake Ceaira Ford na mto hadi kufa kwa madai anaongea sana.
Baada ya kufanya kitendo hicho Janathamn Edelen alijipeka mwenyewe kituo cha polisi na polisi walipokwenda nyumbani kwake walishuhudia mwili wa mwanamke huyo ukiwa juu ya kitanda huku tayari akiwa amefariki.
Mwanaume huyo amehukumiwa kwenda jela na kulipa faini ya dola 500,000.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment