Monday, June 22, 2015

TAARIFA TATA JUU KUFA KWA ASKARI ARUSHA

Ni kweli walifariki Askari baada ya kugongwa na gari lililokataa kusimama Arusha?

ajali 1Ilitokea taarifa Arusha kwamba kuna gari lilisimamishwa na Askari wa usalama barabarani lakini likakataa kusimama na baadae likawagonga kwa Makusudi Askari hao ambapo baadhi yao walipoteza maisha.
Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas alizungumza na moja ya mitandao ya kijamii na kusema hivi >>> ‘Gari letu liligongwa lakini sio kwamba Walilisimamisha, huyo Dereva ndio aliacha barabara upande wake na akaifata gari ya Polisi na kuigonga, hakuna Askari yeyote aliyefariki
ajali 2
ajali 3
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zilisambaa kwenye Mitandao mbalimbali sambamba na taarifa hii.

No comments:

Post a Comment